- seunghyun.kim
- Text(61 character(s))
- Kiingereza Kiswahili
- 100 P
Completed
I need somebody to interpret my explanation of the situation.
Nahitaji mtu atafsiri maelezo yangu ya hali.
Ninahitaji mtu aitafsiri kielelezo changu cha hio Hali...
Nahitaji mtu wa kuchanganua ufafanuzi wangu wa hali hii
nahitaji mtu wa kutafsiri maelezo yangu kuhusiana na hali.
Ninahitaji mtu kutafsiri ufafanuzi wangu wa hali hii.
Nahitaji mtu atafsiri maelezo yangu ya hali hii.