- gahyun.nicole
- Text(161 character(s))
- Kiingereza Kiswahili
- 500 P
Completed
Thank you for listening to my presentation. Flitto is trying hard to break down the language barrier around the world. I wish the best for Kenya and South Korea.
Asanteni kwa kusikiliza uwasilisho wangu. Flitto inajaribu juu chini kuvunja vikwazo vya lugha duniani kote. Nazitakia mema nchi za Kenya na Korea kusini.
Ahsante kwa kusikiliza uwasilisho wangu. Flitto inajaribu sana kuvunjavunja kikwazo cha lugha kote duniani. Nazitakia mema Kenya na Korea Kusini.
Asante kwa kusikiza maonyesho yangu. Flitto inajaribu sana kumaliza kutoelewana kwa lugha duniani kwote. Naitakia mazuri Kenya na south Korea..